Shooter, Puzzle · 2022 · Released
minidavid · December 11, 2022 · Web
Nobody has tracked this yet.
Nisamehe kwa kuandika haya katika lugha ya Kiswahili. Fikira hii ilianzishwa na MFauzan anayepatikana hapa katika itch io. Ninaamini kwamba kutoelewa vitu kwangu hufanya nivikumbuke vitu vyema. Hivyo basi, nimejitolea kuunda mchezo huu kutumia lugha ya Kiswahili badala ya Kiingereza. Lakini sitaitafsiri kurudi Kiingereza. Hivyobasi naomba usitafute maana ya maneno yaliwemo mchezoni kama huelewi vyema ili uniambie jinsi ulivyohisi kuhusu hayo uliyoyahisi. Kabla ya watu kujiandaa katika shughuli za kusema wasiyoyapenda, shida hizi ziwepo kwa mfano: 1. miraba ya kuguswa husonga. Nimejitahidi kuun...
Checking store prices...
Resolving digital store listings for United States
Be the first to rank it.
Be the first to review Mchezo wa video| Krisimasi (mchezo wa Kenya) [photo-epilepsy warning].